KILIMO BORA CHA VITUNGUU SAUMU NA SOKO LAKE
UTANGULIZI
Vitunguu saumu ni jamii ya vitunguu maji asili yake ni nchi za Asia lakin pia usitawi katika nchi za kitropik kwa hapa tanzania ustawi katika mikoa ya singida,Arusha,Iringa na Mbeya. pia utumika kama kiungo cha chakula dawa kwa binadamu na wanyama pia na pia utumika kutengeneza mafuta pia harufu yake kali ufukuza wadudu waalibifiu shambani.
hivyo shamba la vitunguu swaumu haliwi na wadudu wa halibifu sana ukiringanisha na mazao mengine.
AINA YA VITUNGUU SAUMU
Kitaalam bado aijafahamika kunaaina ngapi za vitunguu saumu lakini kuna aina mbili ambazo zinalimwa hapa nchini ni Kienyeji na kisasa.
Aina ya kisasa uzaa vitunguu vikubwa venye ngozi nyeupe napia aina ya kienyeji uzaa vitunguu vyekundu vyenye harufu kali sana na pia havia haribiki mapema ukilinganisha na vya kisasa
vitunguu saumu havizai mbegu halisi kwa hyo uzalishwa kwa kutumia vikonyo vyake

TABIA YA MMEA
Tunguu la vitunguu saumu utokana na
vikonyo na hiv vikonyo ndo vinatumika kama mbegu
HALI YA HEWA
Vitunguu saumu ulimwa kiasi cha mita
1800 au zaidi kutoka usawa wa bahari na mvua kiasi cha mm 1000 au zaidi na joto
kiasi udongo tifutifu na mnyevunyevu na usio tuamisha maji ndio unafaa kulima
vitunguu saumu.
KUANDAA SHAMBA
Andaa shamba mapema lima na akikisha
udongo ni tifutifu na pia unaweza kutuengeneza matuta kwaajili ya kupanda
weka samadi shambani wiki 2 kabla ya kupanda au wakati wa kupanda pandia TSP
kilo 40 kwa eka au kilo 100 kwa hekta
KUPANDA
Panda
vikonyo vilivo anza kuchipua vilivo safi na visivyo na dalili ya ugonjwa kwa
nafasi ya sm 5 kikonyo hadi kikonyo na sm 15 mstari hadi mstari.
PALIZI NA MATUMIZI
YA MBOLEA
Palizi ya kwanza ifanyike mapema mara
tu magugu yanapo tokeza wakati vikonyo vimesha chipua na baada ya palizi
ya kwanza weka mbolea ya kukuzia CAN au UREA. CAN kiasi cha kilo 75 kwa eka au
190 kwa Hekta au UREA kiasi cha kilo 40 kwa eka na 100 kwa hekta na palilia mara
mbili au zaidi ili kuweka shamba katika hali ya usafi
unaweza kupulizia dawa ya kuua magugu
endapo vitunguu vimeshaota kama vile Bromoxynil ambayo uua majani mapana
na fusilade uua nyasi.
MAGONJWA
· fusari muozo-unasababishwa
na ukungu katika majani au miziz na pia unaweza kudhibiti kwa kuchoma masalia
ya mimea baada ya kuvuna
· kutu ya majani-mmea
unakua na vinundu vya ukngu vyenye rangi ya kahawia kama kutu katika majani
tumia dawa ya ukungu kama fungaran nabayfidan na nordox ili kuzuia
· kuoza kwa vitunguu-ukungu
wa rangi ya blue ufunika vitunguu na usabibisha vitunguu kuoza na utokea gharan
vuna kwa uangalifu ili kuepusha michubuko na hakikisha store ni safi
· baka jani-vidonda
vidogo hutokeza katika majani na badae vinakua vikubwa epuka kumwagilia maji
mengi kupita kiasi na tumia mzunguko wa mazao
· muozo shingo-shingo
kuonyesha dalili ya majimaji weka mbolea ya ntrogen kama CAN,UREA na mwagilia
maji ya kutosha hasa vinapo elekea kuvunwa
WADUDU
Wadudu kama chawa wekundu nondo na funza wanakata miche na mizizi tumia dawa ya karate,selecron,novthin,dursban hutumika kuuwa wadudu
KUVUNA
Vitunguu uvunwa vikifika miezi 6-7 baada ya kupanda majani na mashina unyesha dalii ya kukauka viache vitunguu shambani mpaka majani yanap kauka kabisa ngoa kwa mkono au jembe na pia kua muangalifu ili kuepusha kuchubua vitunguu

Comments
Post a Comment