INSTAGRAM KUUA SOKO LA TIK TOK
Wakati
mtandao wa Snapchat ulipokuwa unatrend na staili take ya posti zinazodumu kwa
masaa 24, Instagram waliamua kuja na staili Kama hiyo ili kuwapoteza katika
ramani kwa kuanzisha kitu kinachoitwa "stories".
Sasa Instagram inakuja na kitu
kingine kipya kinachoitwa "Clips", hiki kitakuwa kinafanyakazi kama
mtandao wa Tiktok, kwa ambao hamfahamu mtandao wa Tiktok, ni moja ya mitandao
ambayo inakuja Sana kwa Kasi, kwa maujanja ya video zikiwa na effect zenye ujazo
wa juu.
Instagram
Clips itakuwa na uwezo wa mtu kuposti video zikiwa na ujazo wa filters na
effect ambazo zitaufanya mtandao huu kuzidi kupata umaarufu mwingi zaidi.
Comments
Post a Comment