MICROSOFT IMETULETEA "YOUR PHONE"
kampuni
ya Microsoft inajaribu kuwasogeza watumiaji wengi kuwa karibu na windows 10 kwa
kuleta toleo la "Your Phone" ambalo mtumiaji was Windows 10 ataweza
kuionganisha simu take na PC take na kuweza kutuma na kupokea sms bila ya
kugusa simu yako.
Sasa good news ni kwamba, Microsoft wameupdate toleo
hili na kulifanya kuwa la kitofauti kabisa baada ya kuongeza na Huduma ya
kuweza kupiga nakupokea simu moja kwa moja ukiwa na PC yako, Yaani hutakuwa na
haja ya kushika simu yako kumpigia mtu, vyote utakuwa unamaliza kwenye PC yako.
x
Comments
Post a Comment